
The Secret Life of Vending Machines How Do They Know What You Pick? Ukiweka coins ama card, unachagua soda, alafu boom! Unapata what you ordered… but how does it work? Kuna weight sensors, barcode scanners, na hata AI zinahakikisha unapata chenye uliomba. Lakini si zote! Nani amewahiambiwa “Item Stuck” na machine ikakataa kutoa? 😂
0
0
0