
The weekend is upon us! 😎 #FanFriday as we come to the end of the week, one of our own @Gabriel Shitemi anatuchapia his main lesson of 2021 in his own words;
"At this age yenye tuko, learn how to save. Ukiangukia any Money, just set aside something for your savings ju kuna time utakuja ujipate hauna kakitu na hapo savings zitakuokolea Invest your money kwa vitu za maana. Sio ati kila saa ni sherehe. Yes utapiga sherehe na utaskia fiti, but kesho itakuwa ni hangovers tu without any cash. So better you do something yenye utakuwa unaona after some few years. Then don't give up, no matter how hard the times are, or how hard the situation may be, dont give up, remember the live you promised yourself. #SisiNiMESH #Tujijenge"
2021 ilikufundisha nini? 🤔 Share na #Community story yako!!