
The Weekend is Upon Us fellow #MESHers. Last week Tulikua na #MeshMentors moto 🔥🔥 kuhusu #Biz #Online na tuli-learn vitu mob sana;
-
Ni easy kufanya Biz online juu mse ana-save doh ya rent ya shop.
-
Lazima ujue customers wako vizuri
-
Trust ni muhimu sana ikikaam kwa Biz online.
-
Tumia verified sights ku avoid con artists
Ni tip ingine gani uko nayo kuhusu Biz Online?
#BizChat #WeekendHustle
0
0
0