
There are a number of scams and people should avoid.
- kuna hii msee anaambiwa kuna platform ya ku-invest, then u a register na kitu 500 bob, alafu unadeposite minimum 500 alafu maximu unaeza kau 10k. Ukieka 10k after 7 days pesa yako inarudi na profit ya 5k. Hii ni scam juu kuna mahali hua inafika pesa ya msee inapotea. Alafu wenye hiyo platform wanasema kuna jam kwa system na ivo ndivo pesa zako zinakuanga zikienda. WhatsApp statues views-ati unapost product stau3ya WhatsApp then unalipwa na views. Hii ni scam. Fixed odds pale facebook ama Telegram- hii ninuongo utaoshwa ushangae niko na personal experience. Fuliza limit increase-another scam. Spy apps- ati unaambiwa pale Telegram kuna app inaeza spy on someone messages, simu yako ndio itakua hacked.
0
0
0