There are a variety of products and goods zinauzwa online. Nadia kuanzisha an online shop and I would like to know from wenye wakona experience kwa io area wanisadie na advice, and also wanisadie ku identify what goods or products to major on ndio shop iweze ku grow na ikue successful. Alfu nataka shop ikue ya a variety sitaki kumajor kwa kitu moja. Anyone mwenye akona experience please I need your help, sana Sana kwa what to sell na methods za kureach customers.
0
0
0