
There are so many factors that contribute to having business challenges e.g I do work as an Equity agent, The POS machines sometimes losses network na by that time cjui customers ndio wengi unapata una_sweat kwelikweli..in my area I do sell braids/weaves alafu Kuna kachallenge Fulani napataga huwa c kazuri kwangu,like customer anabuy weave anapeleka salon kusukwa then she's told coz amebuy nywele nje then service fee Ni 100sh plus normal payment then inabidi unarundishiwa nywele yako!! Time Kama hii simu wa kupeleka watoto form one, bidhaa zimekuwa tu ghali tu Sana_ I do sell boxes/mattresses this items bei wah!! Cjui Ni Mungu tu. But with all that lazima kuwe na ups&downs.. nashukuru!! Wakati mwingine Mungu anakujalia unapata something u compensate for the other days..I have personally come to learn that BIASHARA ni kutumia akili.