
THIS 2024 TUTA THRIVE AJE KWA BIZZ YA VIATU?
When it comes to choosing our target, Audience viatu za madem na watoi ndo zina sale sana, research pia inatuonyesha hao ndo the best target.
And sahi to the current market online sale and inquiries ndo mob na pia ina require wewe kudeliver so trust ya customers lazima ikue build hapo.
Hapa kuna tips to consider, ukitaka kukua na good sales this year:
-
Start with the capital in Hand: With minimal of 3000ksh najua huwezi kosa stock ya viatu kali kali at a cheaper prices.
-
Nipoa kukua na vision to motivate you: Regards on how small you start kukua na vision at hand ita kupeleka at great heights.
-
Start na pia Grow bizz yako: Statistics zina show small business hu fail within 6 months, ni poa kutumia resources vizuri within your sights, ni poa kutake ile stock unajua inamove very fast kua avoid stock kukua kwa shelf sana.
If there is any other tips ungependa zikue added, you can share them hapa kwa comment section.
