
This android radio have been talking about here inakuja na camera HD we have different sizes Kuna 7inch ,8inch ,9inch and 10 inch so inadepend na gari Yako na pia the size you want the price ranges between 15k to 20k advantages Iko na the same features as android phone Iko na ram from 1gb to 4 gb internal storage from 16gb to 64gb Iko na play store you can download and install an app you can stream YouTube live by just hotspoting liko na navigation (map) tuko na pia android radio zenye Zinatumia simcard , Bluetooth Iko sawa kabisa we sell na Bado we install na tunapeana one Year warranty our location kasarani mwiki road opposite powerstar supermarket number 0745492885 ukitaka kujua more about the radio unaeza Kam kwa shop ujione mwenyewe

0
0
0