
This Festive season najua Customers watakua wengi sana. And at some point wewe kama Designer hautaweza kumanage customer demand.
To offer Seamless Shopping Experience unaweza fanya nini?:
- Offer Efficient checkouts: - Hii itakusaidia kuminimize waiting time especially maybe kama uko pale kwa mall umeset up shop yako ya designs.
- Multiple payment Options: - Offer variety ya payment methods zenye ziko secure, kama Lipa na Mpesa, na other options including cash.
- Easy returns na Exchange: - Juu customers sahi maybe wata miss size ama wachukue product haiwabambi ni poa kuku na ile easy return way ndo pia kucreate trust na customer.
0
0
0