
This is a good challenge for the meshers for brain storming 💯🙏🤗 Hapa Mimi naeza kuanzia biz ya kahawa na njugu karanga ,,,juu ya mvua imezidii na baridi watu wengi wanaprefer kukunyua kahawa asubuhi na jioni 💯. Hii biz yangu itastand out juu watu wengi wanauza kahawa na mandazi Sasa Mimi nimekuja na new technique 🤗🤗🤗🤗kahawa na njugu ,,very nice 💯🔥🤞.
0
0
0