
This is the best system in kenya Wenye wametumia watakuwa wasaidi wangu Lakini kitu yeyote kimetengenezwa na mwanadamu lazima kiwe na mapungufu System ikiwa chini kuna kuwa na delay ya ku-receive credit back lakini ni jukumu langu kuhakikisha customer wetu amaudhumiwa vyema Aim Yangu nikupee wadau wangu wote uchumba huu na ombi langu wana-Meshers nikipata watu 5k wakini-promote because tuko takribani 85k nitatoa shukrani

0
0
0