
This is where real money is. Informal sectors that youth find it uncool to work at.
-Watu wa kuuza vitu kwa Soko aKa Mama Mboga
-Msee wa Mtura
-Msee wa kunoa Visu
-Mama wa kupika na kuuza Samaki
-Fruit & Juice stand
-Mama wa Uji
-Msee Wa Mayai Boiled & Smokie
Ongezea more kwa comment section. ALSO, This are great businesses you should try in 2024!
0
0
0