
This is where real money is. Informal sectors that youth find it uncool to work at.
-Watu wa kuuza vitu kwa Soko aKa Mama Mboga -Msee wa Mtura -Msee wa kunoa Visu -Fundi wa Mbao -Fundi wa Chuma -Plumber -Msee wa kupiga pasi Gikomba -Mama wa kupika na kuuza Samaki -Fruit & Juice stand -Mama wa Uji -Wasee wa kuuza nguo Gikomba -Msee wa Kurentisha Mkokoteni Nairobi -Msee Wa Mayai Boiled & Smokie -Manzi wa kuserve Drinks -Driver Wa Squod za Transit & Trailers -Fundi wa Nguo -Mechanic -Electrician
Ongezea more kwa comment section ya wajasiliamali wenye wanafanya vyema 2022-2023 and youths wanafaa ku reevaluate on.
#Tujijenge

0
0
0