💥This week imekua all about Badges!!💥 Kuna wasee wama-gain badges na wengine wamepoteza badges, hapa MESH badge yako ni kama currency yako!!💰 Uko na badges ngapi sahii?? Tuchapie kwa comments 👇