
This week imekua all about #Branding! ππΏ It's part and parcel of #Biz siku hizi. The more you #Market yourself, the more you #Grow πͺπΏ Leo, 2pm sharp β° tutakua Live na Edwin Wafuba mse ako na experience kibao kwa #Biz ya Cyber na tech along side Esther David anauza electronics na toys za watoi. π°Tune in #Tujengane na ideas za kuji-brand. ππΏ #ThursdayLive #MESHKonnect #Branding101
0
0
0