
This Year 2024 ' huu Mwaka umenifunza vitu mingi Sana. Kwa Sector yangu ya 'Agriculture π₯π½π₯¬ππππ . People think that Agriculture is so simple. Just keeping livestock and dealing with crops, No!!. Nimejifunza mambo haya;
- You reap what you sow Hapa ukipanda malenge utavuna malenge tu. Chako ni chakoππ.
- Financial management - I have learnt how to save from mesh. Your saving articles zmenhelp Sana. When dealing with extra money si mchezo.
- Continuous Improvement - especially kwa new technologies , farming techniques . I learnt that stagnation is not an option in farming.
- Kudeal na dissapointment- kwa field yoyote n lazma dissapointment-ziko. Nmejifunza kupambana Nazo.
Kwa Kila biashara utayo Anza jua Kuna kushinda ama kufeli. Na ukifeli amka.

0
0
0