This year imekua noma kwa business owners. Kufanya biashara imekua ngumu hadi unauliza, “kwani tulikosea wapi?” Unasema T for Tough ukiwa pande gani?😂