
This year imekua t for tough,,nimepitia alot personally plus pia kwa biz yangu ,,,mi hufanya job kwa salon and kitu nimepitia hii mwaka sana imekua theft,,naishi mwiki and security haijakua poa sana esp this two months za hapa mwisho,,,just juzi juzi tu tumekaa salon ilikua imejaa nilikua na clients watu walikua kwa waiting bay ,we were working till late,ilikua kitu 8pm,,,tumekaa kidogo vile stima zilikua zimepotea all over ,machali watatu hivi wakastorm kwa salon,,tukalalishwa chini and they proceeded to steal everything of ours,masimu,vitu za salon kama blowdry dryer zilienda zote,,everything happened so fast tulikua in shock Hadi tukashindwa kupiga nduru,,na hao machali wakajitoa na ni hivo walipotea,,I lost alot of clients na pia reputation ya salon iliharibikia hapo,,coz Kila msee alikua anaona hiyo salon si safe,,sai being Christmas time salon hukua zimejaa but Mimi for now I just have one or two clients na nikushukwa tu coz I don't have equipments to perform other services,,,,,as if that's not enough Sunday last week my household items ziliibiwa,,niliporwa kwa nyumba coz sikua home that weekend,I got back on Monday morning and found nothing,,azn kitu walinichia ni mattress na nguo pekee,,the money I had saved nilikua nimeeka kwa homebank zilienda zote,viatu mpya mpya nilikua nimebuy ,,Kila kitu Hadi kitanda,,,Im so devastated and Sijai loose hope hivi kwa life ,,I've been doing everything to survive but wacha hii mwaka iishe coz I don't think I'll ever recover from that.i just hope next year will be a bit easy coz I'm done.wuehh #MESHBizlessons 2024