
This year inaenda vizuri tu , nilianza mwaka na aim ya kukua na goals za long term kwa kusave doh na sahii nimeweza ku accumulate doh enye sikuwai manage kusave last year time ka hii , hii ni achievement nimeona nikimaintain consistency na kujituma nitaweza ku achieve by mwaka iishe. Lesson ni eti doh inaeza kusaidia uki accumulate, nina am ya kusave doh ndio niexpand biz yangu .

0
0
0