This year nilileta wasanii wa mtaa pamoja tukacreate awareness ya haki za binadamu (human rights)through music,acting and poetry