This year's despite the fact that it had a lot of challenges coz of covid 19.Nilimanage kuelimisha community jinsi ya kuprevent kwa kuosha mikono na kuvaa mask ,wakitumia password ya mikono,uso umbali nkitembelea mashule na vikundi vya mayuth na akina mama ,niliweza kusabaza mask kw mashule na sanitiza ,nashukuru sababu kaut yetu ya lamu haikuadhirika sana sababu ya ushirikiano wetu youth na mashirika mbalimbali Kama red Cross ambao walichangia barakoa.
0
0
0