
This year ya covid nimelearn not to depend on one source of income. ni muhimu kusave. Covid ilituhumble sana so it means ni lazima mtu ajitume kama mwanaume. Alafu pia ni muhimu kuishi na watu vizuri ndio usaidike. No man is an island and going forward lazima niendelee kumake new networks ku enhance growth
0
0
0