
Through my REGISTERED WESTLANDS SOKA ASSOCIATION Nimeanzisha youth league ambayo inachezwa Westy yote plus its neighbouring sub counties, hi ni program ya first ya youth league around westlands, tuko na Boys U10, 13,15 and Girls U15. The good thing tunatumia grao za mtaa biz za ice , nduthi, snacks, kibanda zimeget boost since fans na teams wanakula this is a success story
0
0
0