
#ThugLoveNaKenbwoy is here.
Kunayo level of relationship ambayo hufikia hujui uko wapi, hujui umewekwa wapi, hujui unasimama kama nani kwenye hayo mahusiano.
Nimejifunza kuwa Mapenzi ni mazungumzo... Kunazo turn of kwa relationships ambazo ukipigwa asee hau poni moyoni.
Leo THUG LOVE part yetu ni...
Je utajuaje position yako kwa life ya mtu mme fanya spend naye mpaka siri za ndani ?
Tuchapiane ukianza na #Tag #ThugLoveNaKenbwoy kwa comment section.

0
0
0