
Thursday is upon us! ⚡️⚡️ I hope tumechangamka na tuko ready for another live episode of #MESHKonnect 🔥🔥This week tuko na Comrades Edition 👨🏾🎓 na tunabonga na MESHers wa nguvu!! @[Navas Herbert] @Jedidah Wangari na @Joyce Aura watatuchapia story zao, vile walianza #Biz wakiwa campo na lessons wame-learn so far! Imagine kuanzisha biz ukiwa comrade na kubalance na masomo? 🙌🙌
Host wetu wa nguvu @[Captain Ashok] ata kua live 2pm sharp ⏰ kama kawaida!💯 Tell #MESHer to tell a #MESHer!! Tupatane kwa comments 👇🏿👇🏿
#ComradesEdition #MESHKonnect #Tujijenge
0
0
0