
THURSDAY THROWBACK
Am very sure you guys know about Monalisa painting by Leonardo Da Vinci. Mshai jiuliza why is it famous? Msiworry, I gat you. Monalisa ata sio the best works ya Leonardo, all things considered, its a alright painting and a mysterious one, but ata haingejulikana kama sio wizi. That painting huskii ni famous ju ya kuibiwa buana. Tukule pause kidogo, turudi hadi mwaka ni 1911, na huko France kwa museum inaitwa Louvre Art Museum. Mchana mchana buana the painting ilisonga na hadi watu hawakujua hadi 28 hours later, alafu sasa a media circus ensured. The media blew up the painting's importance. Hadi museum ikakua shut down. A week later venye walifungua museum tena, wasee waliflock to see the empty wall where it had hung. Ikafanywa a masterpiece. Nakuambua haikupatikana untill 28 months later, hio time already ilikua iko famous. Connect with me for more juice 🔥
