
TikTok ban petition,
Kama social media platforms zingine TikTok pia ikona setbacks zake , but ni platform fitie sana ya kupromote biz, na content yake ukuwa mostly short videos so entertainment pia ni place fitie ya kuhang out , not to mention alot of learning resources na educational content💯 , I mean it's such a power house ikifika ni content creation 💪,
💔Dark side nieti ikona sexual content, hate speech, vulgar language and offensive behaviors pia , so gava ikona issue juu ya exposure ya nudity content kwa watoi na mayouths,
❗❗so wewe kama mesher unafeel hii move ya Kuban TikTok inaeza affect ajii biz yako ? Ama unaona Nini ndio inaeza kuwa solution fitie ndio kukuwe na win win situation ?

0
0
0