
Time unatafuta investors, make sure umejipanga poa.
Jiulize hizi questions, then utengeneza pitch yako fiti:
- Business yako ina-solve a unique human problem?
- Problem ni gani, na solution una-offer ni gani?
-
Product yako ina-solve aje this particular problem?
-
Customers wana-interact aje na product/service una-offer, market iko aje?
- Market inadai hiyo product/service?
4.Product yako ina-make profit ama itaweza kuuzika?
- Kua na brief explanation ya cash-flow yako.
- Ni part gani kwa business system yako inaweza kuwa na issues?
- Chapaa zinakua invested zita-help aje ku-improve efficiency na productivity?
- Ni risks kama gani zinaweza ku-stop growth ya biz yako isikue poa according to business plan yako?

0
0
0