
Times zimekua hard kwa wasee hufanya biz especially hii time ya Corona.
Kama unaweza, ni muhimu kuweka biz yako online. Hii itaku-allow ku-interact na customers wako na wakihitaji kitu utaeza deliver kwa nyumba zao through mse wa nduthi.
Kitu gani ingine inaeza okolea biz hii time?🤔
0
0
0