
Tip 1) Offering discounts to customers, especially your loyal customers. Hii inasaidia kuwakeep na pia wataleta their friends na wakaue customers wako. Tip 2) Listening to customres complains and needs hii inadaidia ku-improve where it is required and to keep your customers wasiende place ingine, na ukifanya ivo customer wana-encourage wengine wakuje kwa shop/biz yako. Tip 3) Stocking your shop na needs za customers wako. Una-make sure hakuna kitu customers wako wanakosa wakikuja kwa shop.
0
0
0