
Tip ya leo ya business plan
- research your market thoroughly Kma unadai kuanza biz research sana kuhusu iyo biz ongea na wasee wenye wanadu biz kama yenye unadai kufungua example ukidai kuanza biz ya kuuza mangua enda ata gikomba ulize wasee venye hao huget stok zao venye wanaget profit na pia design unaeza attract customer
0
0
0