
💡 Tips on how to get started with Savings 💡
The hardest part about saving is just getting started, ukianza tuu hivi it's a good habit kukeep up kwa biz na personal life pia💯
💸 Record your expenses - hii itakusaindia kujua how much you spend na kukeep track ya expenses zako💯 💸 Include saving in your budget - ukipanga budget yako ya monthly include pia ni dooh ngapi unadai kusave , 💸Find ways to cut spending - ukishajua track ya expenses zako , jaribu Sasa kuminimize on them , hii itakusaindia kuincrease limit yako ya savings, 💸Set savings goals- kuwa na goal unadai kuachieve through saving Maybe kuexpand biz yako , kufanya investment mahali na vitu kama hizo , 💸Make your saving automatic - kama ukona payslip mahali acha iyo dooh ikifika kwa bank unatoa share ya savings kwanza before ukam kwa expenses, 💸 Lastly , watch your savings grow 💪💪💯

