
Tips that make my businesses run smoothly ° catering - taking orders before cooking kuzuia food wastage ° detergents - kuwa na plug wakunidropia after every two weeks, tumebuild trust ata silazima nilipe on delivery. Na kuchukua at a specific quantity unless necessary ° Clothes and bags - mi hupiga picha before buying napost then nikipata customer thata when I sell at double the price na it's been very helpful ° Hair Oil - availability ya machupa na stickers hufabya biz ikue smooth na kwa kutumia Ai kutengeza attractive pics za kuvuyia cusomers

0
0
0