
Tips za kuepuka virugu na kanjo
1.elewa sheria za biz yako 2.kuwa na all the required documents za biz 3.Fanya biz legit 4.weka licence in good display kwa biz yako 5.Pay tax in time ndio makanjo wasikuchote extra peni 6.weka biz environment yako ikuwe safi
Ukitumia hizo tips kanjo watakuwa tu wanapitia kukujulia hali
0
0
0