
Tips zakuwa a high trusted seller wa farm produce.
Broker imekuwa the worst name kila mkulima analia. From broker wa fertiliser, wa ku buy produce. Kama mkulima nimepata loss and frustration kwa hands βοΈ za crooked brokers. So kwa wale wenye wangependa ku venture kwa hii field here are personal observations ya vile unaeza kuwa trusted seller; juu kilimo sio just the act yakuwa shamba but the whole process hadi ifikie consumer.
π§βπΎ Define venye success ina mean kwako! Ma hapa ni story za kuunda mullah bila ku compromise values zako na unamake sure clients wako wameelewa hii
π§βπΎ Cut a lot of middle men and tafuta connection direct na mkulima that way unabalance your profits na chenye mkulima anaget.
π§βπΎ Elewa pia season, several farm produce ukuwa na season, so ukiwa na hii knowledge ni easy kujipanga vile uta follow up na mkulima
π§βπΎMeet your commitment
- usi promise kitu yenye hauwezi deliver and pia kama ni payment and mkulima akubali kukuuzia on credit mlipa on the agreed time
π§βπΎ Lastly remember saa ingine is not about huge profit, so balance what u are making na kile unaachia mkulima that way, pia yeye atakuwa works na morale
