
Tips zangu ni: 1: Always smile at the customer akikuja Kwa biz yako na ukuwe na negotiating power, make sure mmemeet place hautaenda hasara na yeye afurahi ki-bei.
2: Usikuwe mvivu, customer akikam mchangamkie, be vibrant and mtu akona energy ukiweza pia crack jokes 🤣.
3: Always make sure Umeambia customer all available goods at your shop e.g Kama anataka t-shirt waeza mshow pia ukona shorts, vests, boxers etc incase ako interested.
Ju ya hio story karibuni Sana Half Landon Stores aka duka la Mia Tano.
0
0
0