To all female meshers kama unatafuta bag ya kugift mama mzazi ya kutravel nayo kwenda shagz ndio hii hapa imetengenezwa na Jute Material na iko na Ankara front center panel iko na zip kuensure vitu zake ziko safe akitravel iko na spacious main compartment ya kuweka essentials zake ndani kama ID ,simu na iko na mapockets kadhaa ndani sio akitafuta kwa bag anapata rahisi na hii ni bag ukimnunulia itamshikilia for the next 4 years bora ukiosha usisoak kwa maji uwipe tu na kitambaa damp iliyo na kaliquid soap kidogo na ui air dry kwa room iko na ventilation away from sunlight na ataifurahia price ni 1600= ni text on 0745045393 kupace order yako
0
0
0