
To all meshers wenye tunalia ati business inashuka tunataka boost loan ama grant, hiyo si solution juu hata ukipata hiyo dooh bado busina itashuka after sometime, tufanye hivi anytime ukiona busina inayumba usitense rudi kwa drawing board angalia saka bearing nini chanzo cha busina kuanza kushuka either ni inje kunoma?unaspend alot?umeingiwa na dooh umesahau customer service ama nini mbaya, once umejuwa kwenye issue iko rectify faster juu hiyo busina ndio wewe then tulia settle kila stuff busina ikianza kuswell tena kam up na expansion idea ama incentives not for free but at a low profit like customer akikam shop na mtoi ama place of work akibuy lolo mbili muadd moja just create the relation in a manner that hautamake loss am sure with time wote tutakuwa great business people and all thanks zita rudi home#mesh ndio home