
To get started unafaa kua unajua unataka kudeal na nini Kuna mpesa agent na Kuna subdealer,, I'll clarify... Kukua mpesa agent unafaa kua na limited business company Iko registered for atleast 6 months na outlets tatu zenye zinafanya mpesa services ...minimum investment ya mpesa outlet ni 100000 float. For this one safaricom will need your business permit ya each outlet depending na location place Niko permit ni 5500,, vat na certificate kama kra,police clearance,I'd na banking licence. Alafu utafeel mpesa agent head office application form na mpesa store application form. Ukisubmit application na ume meet requirements zote utapewa agent number yako.
Kukua subdealer is more affordable than agent na ndio watu wengi wanafanya...but utaneed kubuy mpesa line from a registered mpesa agent na hautago through hiyo process yote hapo juu so utakua unawork under line yake na unamlipa commission . Hii unaeza Anza na float ya 20,000 - 40,000. Na uchukue licence na 5500. Agent atataka id,kra na police clearance. Kununua line kwa agent ni 30,000. Bt you can talk to them😆.
Location ni muhimu kwa mpesa biz because if hauna wateja hautalipwa na line inaeza fungwa ukikosa float . i suggest place roadside ama stage mahali watu na wengi kudeposit na kuwithdraw. Unaeza uza airtime, sim cards na pia kureplace simcard. If ni place unarent find the cheapest below 10k ndio u make profit kwa biz yako.