
To: My Hustle Hello, am Mercy . Am happy to write this letter. Nlianza biz ya Saloon back 2016 when am done with my O level study. Niliona bills zilivyokuwa hapo nyumbani. si maji, si chakula, si mavazi, si karo ya shule. Nkaona n heri nijitume pia. nkaanza kujifunza pole pole na baadae nkafungua kibanda changu cha saloon.
Kinachonitia bidii n mwanangu mdogo. Anakuwa kwa haraka sana. Na mahitaji pia yanaongezeka. What i love kwa biz yangu ni kuwa kila siku na hatua ingine. Nakutana na watu wengi na najifunza kwao pia.

0
0
0