To scale up your biz , recommend you let go of coffee and samosa considering it's near a stadium,most people would prefer something to quench their thirst.for this me nakuadvice uuze vitu kama cold ice pops na plastic bottle sodas.then Kwa snacks cakes na hata hiyo sambusa wakati wa lunch hours zinamake.have in mind spectator anadai kitu atakula pole pole akiwatch .the challenge though ni kuwa inaeza kuwa bulky ...so utadai kitu kama open tuktuk ya kuzitembeza then ubook a spot in a point close to the stadium gate ya most spectators ...either way ukiwa na watu unaeza wapa vibarua watembeze in the stadium ,the better.then ukuwe mtu mchangamfu;socialize na spectators ndo wasitoke in a rush at least hold them na kastori kiasi ndo wakiwa ndani wakukumbuke in case mtu aulizie ,wanakureferAfterwards save a good percentage of the profit ndo ikuholdie biz in times of trouble.I believe that's all ,thank you