To start mpesa business u need ID, KRA pin, Good conduct and business permit Lines unaeza either buy or uchukue ya m2 mwenye anaacha hiyo business Roughly u need like 100k , 10k za permit at least ulipie for 2 months then za kulipa hiyo nyumba utakuwa unafanyia business Then zingine ubuy nazo lines itadepend unapataje hiyo line Alafu ubabakishe atleast 50k za kuanzisha hiyo biz Float iwe kama 20k Alafu cash iwe kama 30k Ukitaka ur mpesa business iwe more busy u can add vitu kama kuuza na kureplace lines au uwe bingwa sokoni agent where people can buy data or minutes with or without okoa jahazi . Pia yafaa uangalie mahali unaeka hiyo business iwe atleast busy ndio ueze kupata commission mzuri atleast.
0
0
0