
Today, nadai kucreate opportunity moja safi kwa Meshers wetu hapa ambao ni job seekers kwa hii ifeld ya hospitality. Najua kila msee huwa anacheck opportunity kadhaa kwa platform zingine so what I want us to do is post pale kwa comment section "LEGIT" and I mean "LEGIT" Job vacancies available. Najua kuna msee uko mahali kwa resto fiti umesikia ka gap kanahitaji msee kama Chef, etc !. Tujenge Meshers tuzidi kuongeza hiyo connection 💪 #Meshers4EachOther #Mesh4Life #SisiNiMesh
0
0
0