Tool yangu ni kisu Mimi kama mama mboga lazima nikue na kisu ndo niandae mboga kwa haraka alafu wateja wengi hawapendi kukata mboga ili kuwavuta lazima nikue na kisu # My Biz Tool