Tools zangu ni hizi machines, na zimenisaidia sana kuhandle clients wangu even though biashara iko level ya chini bado