
š TOP 3 IDEAS ZA Ku-MAKE DOH HII MONTH YA FEB šø
š Happy new month wadau! Imagine tumefika Feb 2022! š The month of love š. Kama #Community, share ideas za ku-make doh hii season! š° Top 3 ideas;
NUMBER ONE- Valentines season discounts; Hii ni season poa ya ku-reward loyal customers kama uko service industry (Kinyozi, nduthi, mtush, food industry). Example, buy one get one free. NUMBER TWO- Kuuza fast selling products hii season; Kuuza products kama flowers/roses, chocolates na gifts za valentines day. NUMBER THREE- Collaborating na #Biz ziko na similar interests na zako. E.g kama uko na nduthi ama taxi, hii ni season poa ya kuchapa #Biz na wasee wako na shops za kuuza gifts, ni opportunity poa ya kufanya deliveries.
Ongeza tips zenu kwa comments!! As always, form ni #Kujengana
#SisiNiMESH #MESH4Life