
Top 3 Photography Hacks:
📸Reflectors: Weka reflector kwa opposite side ya light source ku-bounce light kwa subject, easy na inakupa softer shadows.
📸ND Filters: Kama unapiga video kwa bright sunlight, ND filters zinadamp brightness bila ku-affect color, ukikubali kuweka exposure yako chini.
📸 Golden Hour: Light safi ya sunrise ama sunset inafanya kila kitu kiwe soft na glowing. Perfect time ya portraits na landscapes."

0
0
0