
🆕 TOP 5 Business Ideas you can start with ksh 5000!!
Check out Business Ideas you can start with ksh 5000St in Kenya. Starting a business in kenyacan be expensive depending on what you want to startr. Hapa hivi, MESHers wanajengana na 5 Biz Ideas you can start na capital ya 5K or less! 🔥
- Chapati Baze 🍕
Idea ya Melvin ni “ku-create base ya chapo, nataka nianze biz ya kupika chapo nje ya Meru national polytechnic, apo tu kwa roadside na ninajaua ni biz itajipa coz ma comrade wanapenda chapo, but challenge niko nayo ni resources for now. Ndio nime maliza college na bado sijapata kazi.” •Capital: Before uanze hii biz unahitaji capital ya ksh 4700, kununua the following products: Unga Ngano (2kg) – 200, Cooking Oil – 1000, Jiko – 1500, Table ya Ku-roll Chapo – 1500, Utensils – 500 •Profit: Kama kawaida profit is everything, packet moja ya unga ngano hutoa 30 chapatis! Ukiuza chapo moja 20 bob utamake 600/= from one packet na hio ni profit ya 400 bob. •Skills required: The only skill msee anahitaji kwa hii hustle ni ujue kupika chapatti, hii Biz ni full time unless uko na mse wa kuandika
- Kupima Weight âš–
Kivaya ako passionate about healthy living na idea yake ni “Nataka kubuy weight-machine, preferably digital, then get beste yangu flani mwenye hana works and amekuwa akiniulizia works for some time. Kitu unique about it ni kuwa, ni one time investment then sit back and ijilipe.” •Capital: Maximum capital ni ksh 4000/= The only thing unahitaji ni weighing scale na kuna 2 different types; Manual weighing scale ama unaweza buy Digital weighing scale. Prices ni: Manual - ksh 1500 – ksh 2500 ama digital - ksh 4000. •Profit: Most of the time wasee hu-charge 10 bob – 15 bob na depending on location ya biz, you can make up to 400/= a day. •Skills required: Marketing skills zako zinafaa kuwa fiti. Good thing about hii biz ni ati ni part time gig and the best time kuifanya ni morning hours au jioni wasee wakitoka works.
- Fast Foods Mwitu 🍟
Alex ako na idea ya ku-sell different fast foods, “Mi niko na idea ya kuuza kebabs mwitu na burgers at a comrade friendly price pia Smokies, experience ya kupika already niko nayo ,nataka kuziuza uko eldoret around Moi university ndio nikue na market ya comrades na ikijipa vizuri niwaletee ice pops” •Capital: Ndio uanze hii biz lazima ujue vitu unahitaji na prices, total capital ni Ksh 5050/= for: Smokie Trolley – 4000 (Kwa jua kali unaweza get na 3500), Packet ya 22-piece Smokie – 350, Utensils – 500 na Kachubari – 200 •Profit: Smokie moja ni 30 bob, ukiuza all 22 pieces in a day, unapata 660 na utakua ume-earn 310/= kwa siku juu utatumia 350 bob kubuy packet ingine ya smokies. •Skills required: Unahitaji basic cooking skills na ability ya kuchagua location fiti. Kwa hii business, location ni kila kitu, the best place kui-set up ni karibu na learning institutions, market places, near bus stops, around bars na pubs, around places hosting social events, or in public parks. Hii inaweza kua part time ama full time depending on situation yako.
- Selling Jewelry 🎖
Cheki Biz idea ya Kevo “Kama we ni youth maybe huwezi kua na capital fiti but kuna hii biz ya Jewelry businesses are profitable because many people like buying jewelry, especially beautiful and unique. You can start this business by purchasing some jewelry, learning how to make it yourself using online tutorials, and promoting your business by word of mouth” •Capital: You can start this with 5K or less na kuna two ways around hii business idea: Unaweza design the items ama u-buy readymade pieces alafu uzi-sell, uki-decide kuanza from scratch uta-need skills na supplies. Uki-decide kuendea readymade items, kuna place inaitwa Kariokor Market, iko outside the city, na unaweza buy African ornaments in bulk kama neck pieces hukua ksh 250 - ksh 400 at Kariokor alafu at Nairobi City Centre wasee wanauza at ksh 1000. •Profit: Unaeza make up to ksh 600/= per sale, ukitoa price ya ku-restock, profit inashuka to ksh 200/= •Skills required: Unahitaji marketing skills fiti na good taste in jewelry. This Biz idea ni part time gig but ukipata high profits unaweza scale up ufungue jewelry shop u-make it a full time gig.
- Vending Fruits 🍉
Idea ya Faith ni “Ku-open a business of selling fruits, vegetables, and drinks. This business will be located opposite to polytechnic since theirs already market there” •Capital: Average cost ni ksh 5000/= Hii biashara ina-depend on several factors kama: Size ya Biz, location na the type of fruits unataka ku-sell. •Profit: Profit iko highly dependent na fruits uta-nunua na the quantity uta-sell on a daily basis. Na Capital ya ksh 5000/= unaeza make profit ya ksh 1500/= on a good day. •Skills required: Make sure fruits unauza ziko on demand na uko na location yako ni poa. Hii inaweza kua side gig ukianza but once ume-grow biz yako inaweza kua full time job. Bonus tip is that; ukitaka biz yako ikue profitable, always make sure ukona fresh produce.
Biz gani hapa imekubamba so far? Share na sisi thoughts zako kwa comments đź’Ż!
