logo

Top tips za kusave doh๐Ÿš€

Savings ni kuchukua doh zako at the end of the day/week/month depending on income yako, na kuziweka kando for future use. Umekua uki-struggle ku-save ama unajiuliza vile uta-save?! ๐Ÿค”

Cheki๐Ÿ‘‡๐Ÿฝhizi advice from our MESHers:

  1.  Locked Savings Account. Lincon Opiyo hu-save na locked savings account. Hii ni account enye msee huweka doh na huwezi withdraw till a specific amount of time enye ume-agree na bank; inaweza kua one or two months ama ata six months depending on wewe mwenyewe. A good example ya locked savings account ni m-shwari. Advantage ya locked savings account ni ina-encourage discipline in saving cause msee hakui tempted to withdraw pesa.
    
  2.  Chama. Jane Wamaitha ana-encourage ku-join na ku-save na chama. Kwa hii method, unakam pamoja as a group; inaweza kua friends, family ama neighbors. Kwa chama kuna system ya merry-go-round, depending on group yako, mnaweza decide amount ya kuchanga na inaweza kua daily, weekly, ama monthly alafu mna-rotate vile kila msee atapata doh.
    
  3.  Lipa na M-pesa. Eliud Njoroge anadai ni advisable kukua na lipa na m-pesa (Till Number) kwa biz yako cause ni easier ku-bank doh bila kutumia. Uki-deal na cash-in-hand kwa biz, most times utakua tempted kutumia na una-end up huja save.
    
  4.  Fixed Deposit Account. Ted Waweru ana-share advantage ya ku-open fixed deposit account instead of normal savings account. Fixed deposit ni account unaweka doh for a period na io period ikiisha, una-gain interest depending on rates za bank yako. Hii ni advisable cause savings zako zina-grow, unlike savings account.
    

From the advice shared, unaweza decide how you want to save depending on income yako! Kama unadai ku-earn Financial Management badge, click the link below ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ ku-watch hizi short 2 minutes videos alafu tuchapiane more kwa comments ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

https://mesh.life/app/bizvi...

Thumbnail

Comments