
TRACK PESA ZAKO CHALLENGE! Umewai jipata umetoka na pesa kwa nyumba asubuhi lakini jioni huezi explain vile ulitumia some of that money during the day? Hii challenge ni yako. Tumia hii tool kuchunguza vile una-spend every shilling on a daily basis for one week. Ukiona inakuokoa unaeza inbox ama comment WhatsApp number yako tukutumie soft copy. Comment kama ungependa ku-participate kwa hii challenge tutembee pamoja na wewe! #Shujaazbiz #LindaFam
0
0
0